Omar aahidi kuwa kisiki kwa Mauritius

October 7, 2015 bandarifc 0

BEKI wa Bandari FC, Abdulatif Omar anasema ikiwa atakuwa katika kikosi cha kwanza cha Harambee Stars kinachopambana na Mauritius hivi leo kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia, atahakikisha mpinzani wake hampiti kuleta athari golini Akiongea na Taifa Leo kwa njia ya Focebook, Omar anayejulikana maarufu kwa jina la Achkobe’ anaamini kama atachzeshwa na Kocha Bobby William on kwenye mechi hiyo hivi leo, atahakikisha anaondoa hatari zote zitakazokuwa upande wake. “Nitafurahika sana nikichezeshwa dhidi ya Mauritius na nitacheza kwa ari na moyo wangu wote kuiwakilisha nchi yangu. Nikiwa uwanjani, sitakubali kupitwa na wachezaji wa Mauritius,” akatamba Omar. wa pekee kutoka Mkoa wa […]

Bandari waleta raha

October 5, 2015 bandarifc 0

Bandari FC Iiliwafurahisha mashabiki wake baada ya kuishinda Nairobi City Stars kwa mabao 2-1 kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL) iliyochezwa katika uwanja […]