
Burdaaaan tunayoshusha huku mtandaoni imetushindia nafasi ya pili katika kitengo cha “Digital Team of the Year”
.

Shukrani zimwendee Mungu, Uongozi wa klabu, na mashabiki wetu tunaopiga nao gumzo huku kila siku
.

Hongera
kwa Tusker FC kwa kutwaa nafasi ya kwanza .