
📍Msimu mpya unaanza rasmi tarehe ishirini na tano mwezi huu.
25 | Septemba
Hivo basi kama ulikua unapanga kuoa, ihairishe Harusi!
Usibaki nyuma waambie wakazamwana kwamba Burudani linarudi pale Mbaraki Sports Club tukipatana na Mathare United siku kuu hio.
Hizi ndio mechi zetu tano za kifungua msimu