
Habari Njema! Wachezaji wetu sita 
; moja, mbili, tatu, nne, tano, sita; wanatarajiwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa, The Harambee Stars, katika kambi ya mazoezi ya kujiandaa kuivaa Mali.


Wachezaji wenyewe ni Abdallah Hassan, Benjamin Mosha, Keegan Ndemi, Siraj Mohamed, Michael Wanyika na Joseph Okoth.
Tunawatakia kila la kheri wanapojiandaa kuiwakilisha nchi
.
