
Hivo basi usikose kujiunga nasi Saa Saba Mchana kwa Mechi yetu ya pili ugenini dhidi ya wenyeji Bidco United FC
Usingoje kusimuliwa hadithi, Tazama Mechi katika runinga ya StarTimes ama jiunge nasi papa hapa Mtandaoni ambako Burrdaaan lishaanza tayari!
Je? Unaonaje Mechi ya leo?