
Leo ni siku kuu ya Burrdaaan unalolipenda yaani sherehe ndio imerudi uwanjani.
Jumuika na Mashabiki wenzako pale Mbaraki Sports Club kwa Shilling Mia Mbili tu yaani 200 Shillings, yaani bei ya Nusu Biriani kwa Burrdaaan kamili saa Tisa alasiri pale Bandari wanapowakaribisha AFC Leopards, kwa Mechi kubwa barani Africa Mashariki.
Hivi usikose gwaride na zegede, jumuika nasi kwa full network of furahaΒ