
Kwa:
Posta Rangers Football Club
Sanduku la Posta
002-00100
Narok
RE: Burudani
Mpenzi Posta,
Tunatumaini kwamba ujumbe huu umewafikia mkiwa wazima wa afya na mawazo.
Tungependa kuwajuza kwamba tuna Mechi na Nyinyi ya kati ya wiki, Jumatano hii saa Tisa alasiri pale Mbaraki Sports Club.
Hivi basi, tunawakaribisha nyumbani kwa Burudani, mziki ni ule ule wa Mzee Ngala.
Tuonane panapo Majaaliwa.
Kwa Ukarimu,
Bandari FC
001-80100
Burudani Street
Mbaraki Sports Club
Mombasa, Kenya