
Kijana yule dancing Rasta mpole lakini hatariΒ
Kiongozi wa kutazamwa leo ni mchezaji wetu Simba wa Mombasa William Wadri, Ssebo huyo amefunga katika Mechi tatu zilizopita za ligi na zakirafiki.
Basi huyo ndie mpishi wa Burrdaaan leo usikose kumpa jicho anapopiga shughli yake.